Posts

Showing posts from January, 2024

SOMO:NAMNA KIJANA ANAPASWA KUENENDA ILI ASIDHARAULIKE

 NAMNA KIJANA ANAPASWA KUENENDA ILI ASIDHARAULIKE KWANZA TUANZE NA MAANA YA KIJANA KAA UFUPI.. . Kijana ni Mtu wa kike au wa kiume mwenye umri wa kiaka 15-45..kwa Dunia ya Leo hivyo ndivyo tunavyoweza kumuelezea kijana.. Sasa iko ivi"Biblia inamuelezea kijana kwa namna ya kipekee sana,sijajua kama wewe unaijua hii Siri,ila ni ivi kijana anahitajika sana katika kuisukuma na kuitenda kazi ya Mungu Ili isonge mbele, katika ulimwengu wa leo wanasema kijana ni taifa la kesho,, the same katika kazi ya Mungu kijana ndiye anatakiwa kuwa mstari wa mbele kuipigania injili,, ukisoma tangu agano la kale na jipya utaona,watumishi wengi wa Mungu waliitwa na Mungu wakiwa ni vijana..Musa,daudi,Daniel,Isaya,yeremia... wanafunzi wa Yesu,Paulo...okay tufanye wote,, 👉 unazani ni kwanini waliitwa wakiwa vijana,,jibu👇  waraka wa Yohana 1:14b anasema 1 Yohana 2:14b [14] Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu.  (kwah...

MUNGU AKUTIE NGUVU WEWE UNAYETAKA KUFANIKIWA KIROHO NA KIMWILI USIPITWE NA NENO HILI

Image
  MUNGU AKUTIE NGUVU WEWE UNAYETAKA KUFANIKIWA KIROHO NA KIMWILI USIPITWE NA NENO HILI. (JIFUNZE KUWA MSIRI ILI UYAFIKIE MALENGO YAKO). Utakuwa nami  sir. Majembe katika somo Phone number +255757030926 BWANA YESU ASIFIWE!!k kwanza kabla sijaendelea na somo lazima uelewe mafanikio Nini Nini? 👉tunasema MAFANIKIO ni ukamilishaji wa malengo yanayompatia mtu ustawi,hadhi na afya,Yaani mfano unaposema huu mwaka nitajenga nyuma na ukijenga huko ndo kufanikiwa,, ✓✓Sasa kwa sisi Wana wa Mungu Kuna kufanikiwa kiroho na kimwili...kufanikiwa kiroho ni kwa Mungu maana huku si kupenda kwetu Bali ni kwa Neema yake,yeye ndipo ametupa urithi wa kiroho ya kwamba tufanyike Wana..na kutukimiria ahadi nyingi zaidi.. 2 Wakorintho 1:22 [22]naye ndiye aliyetutia muhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.  tena katika warumi anasema.."" Warumi 8:16-17 [16]Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu, ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu;  [17]na kama tu watoto, basi, tu warithi; warithi wa Mu...