SOMO:NAMNA KIJANA ANAPASWA KUENENDA ILI ASIDHARAULIKE
NAMNA KIJANA ANAPASWA KUENENDA ILI ASIDHARAULIKE KWANZA TUANZE NA MAANA YA KIJANA KAA UFUPI.. . Kijana ni Mtu wa kike au wa kiume mwenye umri wa kiaka 15-45..kwa Dunia ya Leo hivyo ndivyo tunavyoweza kumuelezea kijana.. Sasa iko ivi"Biblia inamuelezea kijana kwa namna ya kipekee sana,sijajua kama wewe unaijua hii Siri,ila ni ivi kijana anahitajika sana katika kuisukuma na kuitenda kazi ya Mungu Ili isonge mbele, katika ulimwengu wa leo wanasema kijana ni taifa la kesho,, the same katika kazi ya Mungu kijana ndiye anatakiwa kuwa mstari wa mbele kuipigania injili,, ukisoma tangu agano la kale na jipya utaona,watumishi wengi wa Mungu waliitwa na Mungu wakiwa ni vijana..Musa,daudi,Daniel,Isaya,yeremia... wanafunzi wa Yesu,Paulo...okay tufanye wote,, 👉 unazani ni kwanini waliitwa wakiwa vijana,,jibu👇 waraka wa Yohana 1:14b anasema 1 Yohana 2:14b [14] Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu. (kwah...